TIKTIK
Maelezo:
Dawa yenye ufanisi wa kudhibiti kupe, utitiri wanaosababisha upele, chawa na vimelea wengine wa nje kwa ng'ombe, kondoo, mbuzi, ngamia na mifugo mingine.
TIKTIK haishauriwi kutumika kwa farasi na baadhi ya aina za paka.
Kiambato Hai:
Amitraz 12.5% EC
Matumizi:
Changanya ml 20 za TIKTIK katika lita 10 za maji.
Ufungashaji:
100ml, 250ml,500ml, 1L, 40L



