ECOTIX 100EC
Maelezo:
Dawa ya mifugo ya kuua kupe inayotumika kudhibiti kupe, viroboto, utitiri, nzi wa tsetse na vimelea wengine wanaoishi nje ya mwili wa ng'ombe, kondoo, mbuzi, farasi, punda, mbwa na wanyama wengine.
Kiambato Hai:
High Cis Cypermethrin 10%
Matumizi:
Nyunyizia au ogesha wanyama mara moja kwa wiki.
Kipimo:
Changanya ml 10 za ECOTIX katika lita 10 za maji.
Ufungashaji:
100ml, 250ml, 500ml, 1L



