SUPA DOG SHAMPOO
Maelezo:
Shampuu ya kuogesha mbwa yenye dawa ya kuua wadudu, tayari kwa matumizi ili kudhibiti kupe, viroboto na chawa kwa mbwa bila kuacha mabaki ya dawa kwa muda mrefu.
Husafisha manyoya na kuyafanya yang'ae.
Kiambato Hai:
Pyrethrin 0.5% w/w
Matumizi:
- Tikisa vizuri kabla ya kutumia.
- Loanisha manyoya ya mnyama kwa maji ya uvuguvugu, kisha mwagia 50 ml ya Supadog Shampoo mwilini.
- Sugua vizuri ili kupata povu jingi, acha kwa dakika 3–7, kisha suuza vizuri.
Ufungashaji:
250ml



