DROP-ON

Maelezo:
Dawa ya kuua wadudu yenye msingi wa mafuta (oil-based pyrethroid), tayari kwa matumizi dhidi ya nzi wa tsetse, kupe na chawa kwa ng'ombe, farasi, ngamia, kondoo, mbuzi na wanyama wengine.

Kiambato Hai:
Deltamethrin 1% w/v

Matumizi:
Kiasi cha ml 1 kwa kila kilo 10 za uzito wa mnyama.
Paka dawa kwenye mstari wa mgongo kuanzia juu ya kichwa kati ya pembe hadi kwenye shina la mkia.

Rudia Matibabu:
• Baada ya siku 28 wakati wa msimu wa kiangazi.
• Baada ya siku 14 wakati wa msimu wa mvua.

Ufungashaji:
250ml, 1L

Kundi la Bidhaa: