Farmbase Limited Yang'aa Nanenane 2026
Msimu huu wa Maonesho ya Wakulima ya Nanenane umekuwa wa kukumbukwa kwa Farmbase Limited, ukiwa na ziara za viongozi wakuu, utambuzi wa kitaifa, na mfululizo wa tuzo katika mikoa ya Dodoma, Morogoro, Lindi na Zanzibar.

